MO SALAH ATAKIWA  KUMRITHI RONALDO

MO SALAH ATAKIWA  KUMRITHI RONALDO

7694
0
KUSHIRIKI

MADRID, Hispania


TIMU ya Real Madrid inasemekana kumshawishi nyota wa Liverpool, Mohamed Salah, ili akarithi nafasi iliyoachwa wazi na Cristiano Ronaldo.

Vinara hao wa soka Hispania walimuuza nyota wao huyo raia wa Ureno kwa Juventus mwezi uliopita.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU