MOURA AKILI YOTE MAN UTD

MOURA AKILI YOTE MAN UTD

1235
0
KUSHIRIKI
PARIS,    Ufaransa

KIUNGO wa Paris St-Germain, Lucas Moura, amesema kwamba bado akili yake yote ipo kujiunga na Man Utd.

Staa huyo alisema kuwa jambo hilo linatokana na kwamba ndiyo klabu ambayo anaipenda.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU