MOURINHO AMNYATIA BEKI LEICESTER CITY

MOURINHO AMNYATIA BEKI LEICESTER CITY

7841
0
KUSHIRIKI
  MANCHESTER, England |  

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho, anamfukuzia beki Leicester City, Harry Maguire.

Mourinho ametajwa kuandaa kitita cha pauni milioni 35 kuinasa huduma ya nyota huyo.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU