NAHODHA CHELSEA KWENDA URUSI

NAHODHA CHELSEA KWENDA URUSI

3884
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

KLABU ya Spartak Moscow ya Ligi Kuu ya Urusi, inaongoza mbio za kuiwania saini ya nahodha wa zamani wa Chelsea, John Terry.

Terry mwenye umri wa miaka 37, anatarajiwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja na timu hiyo.

 

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU