POGBA, MARCELO WAJADILIWA JUVE

POGBA, MARCELO WAJADILIWA JUVE

4581
0
KUSHIRIKI

TURIN, Italia


 

JUVENTUS wanaangalia uwezekano wa kuwabeba kwa pamoja mastaa, Paul Pogba na Marcelo.

Mkakati huo unaweza kufanywa katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi hapo mwakani.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU