RAIS MONACO AMZUIA LEMAR

RAIS MONACO AMZUIA LEMAR

6910
0
KUSHIRIKI
MONACO, Ufaransa

MAKAMU wa rais wa klabu ya Monaco, Vadim Vasileyev, amemtaka nyota wake, Thomas Lemar, kutolazimisha kuondoka.

Vasileyev ameonya kuwa kitendo anachofanya staa wa kimataifa wa Ufaransa, kitamgharimu.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU