RIHANNA KWA CHRIS BROWN KAMA KAROGWA AISEE

RIHANNA KWA CHRIS BROWN KAMA KAROGWA AISEE

6102
0
KUSHIRIKI

LOS ANGELES, Marekani


WAMESHAACHANA lakini bado bibiye Rihanna hasiti kuonesha mapenzi yake kwa staa wa muziki, Chris Brown.

Iko hivi, kwa sasa Chris hana raha baada ya mama mtoto wake, Nia Guzman, kumfikisha mbele ya sheria, akidai kuwa msanii huyo anatakiwa kulipa mara tatu ya kiasi anachotoa kumhudumia binti yao mwenye umri wa miaka minne.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Rihanna, baada ya taarifa hizo kumfikia, mrembo huyo ameonesha kuumizwa.

“Unajua hata Rihanna alipogundua kuwa Chris ana mtoto na mwanamke mwingine ilimuuma sana. Aliona ingependeza zaidi kuzaa na Chris,” kilisema chanzo hicho.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU