SAINI YA MALCOM YASAKWA KILA KONA

SAINI YA MALCOM YASAKWA KILA KONA

3373
0
KUSHIRIKI

LONDON, England


 

KLABU za Arsenal na Tottenham zinaisaka saini ya winga Mbrazil anayekipiga Barcelona, Malcom, wakitambua wazi nyota huyo ataondoka Camp Nou muda wowote.

Tangu atue Catalonia akitokea AS Roma mwaka huu, Malcom amejikuta akisugua benchi kwa kiasi kikubwa.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU