KOULIBALY AIKATA MAINI CHELSEA

KOULIBALY AIKATA MAINI CHELSEA

4508
0
KUSHIRIKI

NAPLES, Italia


BEKI wa kati wa Napoli, Kalidou Koulibaly, amesaini mkataba wa miaka mitano wa kuitumikia timu hiyo akifuta ndoto za Chelsea kukihitaji kisiki hicho cha Senegal.

Tangu zama za Antonio Conte alionekana kuvutiwa na beki huyo aliyefanya vizuri katika fainali za Kombe la Dunia na kikosi cha Senegal.

Wengi walitegemea kuona akiungana na Maurizio Sarri kwa mara nyingine tena katika kikosi cha Chelsea kama alivyofanya kiungo, Jorginho.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU