WANNE KUIKIMBIA TOTTENHAM JUNI

WANNE KUIKIMBIA TOTTENHAM JUNI

8663
0
KUSHIRIKI
LONDON, England    |

IMEELEZWA kuwa mastaa wanne wanatarajiwa kuondoka Tottenham wakati wa usajili wa majira ya kiangazi utakaoanza Juni, mwaka huu.

Taarifa zimedai kuwa mmoja kati ya nyota hao ni kiungo wa kimataifa wa Ubelgiji, Mousa Dembele.

 

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU