ZAHA MBIONI KUTUA CHELSEAZAHA MBIONI KUTUA CHELSEA

ZAHA MBIONI KUTUA CHELSEAZAHA MBIONI KUTUA CHELSEA

5738
0
KUSHIRIKI

LONDON, England


 

TIMU ya Chelsea inapewa nafasi kubwa ya kumwinda winga wa Crystal Palace, Wilfried Zaha, ambaye anauzwa kwa pauni milioni 75.

Taarifa zinaeleza kwamba nafasi hiyo kwa Chelsea imekuja baada ya   Tottenham kuamua kujitoa katika mbio za kumfukuzia.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU