ZIDANE AANZA USAJILI UNITED

ZIDANE AANZA USAJILI UNITED

4546
0
KUSHIRIKI

MANCHESTER, England


 

IMEELEZWA kuwa tayari kocha Zinedine Zidane, ameanza kusaka mastaa kwa ajili ya kikosi chake Manchester United.

Hiyo inachochea tetesi zilizopo kwamba, Mfaransa huyo anajipanga kuchukua mikoba ya Jose Mourinho pale Old Trafford.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU