ZIDANE KUMRITHI MOURINHO MAN UTD

ZIDANE KUMRITHI MOURINHO MAN UTD

7760
0
KUSHIRIKI

LONDON, England


TIMU ya Manchester United inaripotiwa kumtaka kocha wa zamani wa Real Madrid,  Zinedine Zidane, ili akachukue nafasi ya wa sasa, Jose Mourinho.

Taarifa zinaeleza  kuwa mashetani hao wekundu wanaona kuna uwezekano wa Mreno huyo akataka kuondoka.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU