ZIELINSKI AIVUTA LIVER ITALIA

ZIELINSKI AIVUTA LIVER ITALIA

7379
0
KUSHIRIKI
 MERSEYSIDE, England

LIVERPOOL wameanza kuiwinda saini ya kiungo wa Napoli, Piotr Zielinski.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 23, amekuwa akifuatiliwa kwa muda mrefu na kocha, Jurgen Klopp.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU