Wednesday, August 12, 2020

Yanga anasa mrithi wa Abdul

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga jana umweingia mkataba wa miaka miwili na beki wa kulia wa timu ya...

Jeuri ya Simba kwa Morrison hii hapa

NA ASHA KIGUNDULA WAKATI hatma ya Bernad Morrison kuichezea Simba au kubaki Yanga ikitarajiwa kujulikana leo, imeelezwa kuwa inaonekana...

BAADA YA KUJIUZULU SIMBA… ...

MICHAEL MAURUS NA ASHA KIGUNDULA KUNA sehemu ya mashairi ya wimbo wa mkali wa Hip Hop nchini, Fareed Kubanda...

SHIBOUB ASUBIRI SAA KUSAINI AZAM

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa klabu ya Azam upo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo wa...

Michezo Kimataifa

Samatta na Aston Villa yake wameponea kushuka

LONDON, England  POINTI moja iliitosha Aston Villa ambayo anakipiga nahodha wa Taifa Stars, Mbwana...
- Advertisement -

Ambokile kuigomea TP Mazembe

NA ZAINAB IDDY MSHAMBULIAJI wa Kitanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya DR. Congo, Eliud Ambokile, ameweka wazi...

TP Mazembe yaifanyia umafia Simba

MWANDISHI WETU KLABU ya TP Mazembe ya DR Congo, imeifanyia umafia Simba kwa beki mahiri asiyecheka na mtu awapo...

Morrison amwaga mboga

NA ZAINAB IDDY CHEZEA Yanga ya Dk. Mshindo Msola na GSM wewe! Hapana chezea kabisa kwani kwa mipango iliyowekwa...

MTAKOMA ...

MADRID, Hispania TAA nyekundu imewashwa. Hatari inaweza kutokea muda wowote kuanzia sasa, baada ya kipa wa Real Madrid, Thibaut...

Michezo Leo

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

Fei Toto ana jambo lake

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ameonekana kuwavuruga Wanayanga baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa...

Yanga anasa mrithi wa Abdul

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga jana umweingia mkataba wa miaka miwili na beki wa kulia wa timu ya...

Jeuri ya Simba kwa Morrison hii hapa

NA ASHA KIGUNDULA WAKATI hatma ya Bernad Morrison kuichezea Simba au kubaki Yanga ikitarajiwa kujulikana leo, imeelezwa kuwa inaonekana...

BAADA YA KUJIUZULU SIMBA… ...

MICHAEL MAURUS NA ASHA KIGUNDULA KUNA sehemu ya mashairi ya wimbo wa mkali wa Hip Hop nchini, Fareed Kubanda...

Burudani / Trends

Menina aula ubalozi bidhaa za vipodozi

BEATRICE KAIZA Staa wa filamu na Bongo Fleva nchini, Menina Abdulkarim amekula dili nono...

Denis God’s Gift atambulisha ‘The Best’

IOWA, MAREKANI  MWIMBAJI wa Injili nchini Marekani, Denis God’s Gift, amewaomba wapenzi wa muziki...

‘Bumper To Bumper’ ya King K hatari tupu

NA CHRISTOPHER MSEKENA RAPA wa kizazi kipya mwenye asili ya Kenya anayeishi...

Gunda aachia ‘Ni Nani Mtu Huyu’

HARARE, ZIMBABWE KUTOKA nchini Zimbabwe, mwimbaji mahiri wa Injili, Lawrence Gunda, amewaomba mashabiki...

Salem Morisho aachia video ya ‘Ni Kwa Nehema’

TEXAS, MAREKANI MWIMBAJI wa Injili anayefanya shughuli zake Houston, Texas nchini Marekani, Salem Morisho,...

Michezo Kitaifa

- Advertisement -

Kagere ‘abeba’ vichwa vinne Yanga

ZAINAB IDDY MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere, amebeba vichwa vya wachezaji wa nne kutoka Yanga. Ipo hivi,...

Rage ajitosa kumchomoa Mwakalebela

NA ZAINAB IDDY WALIOWAHI kuwa wenyeviti wa Simba, Ismail Aden Rage na Hassan Dalali, wamewataka viongozi wa klabu hiyo, kumsamehe...

NI BONGE LA SAPRAIZ SIMBA

NA ASHA KIGUNDULA, LINDI LEO ni leo asiye na mwana aeleke jiwe, mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu...
- Advertisement -

Must Read

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza kupokea maombi kutoka kwa baadhi...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

Fei Toto ana jambo lake

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ameonekana kuwavuruga Wanayanga baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa...

Makala Za Michezo

SIMBA 4-1 YANGA… ...

NA AYUBU HINJO DAR es Salaam ilizizima, ilipambwa kwa rangi nyekundu na nyeupe katika mitaa mbalimbali. Furaha isiyo na kifani, isiyoelezeka ilitosha kuwapeleka Simba kwenye fainali ya Kombe la Shirikisho ambayo watacheza dhidi ya...

Maisha Manase: Mwimbaji wa Gospo anayepeta Marekani

MIONGONI mwa wanamuziki wa Injili wenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  waofanya vyema nchini Marekani ni Maisha Manase anayeishi...

Jinsi Ferguson alivyosajili makipa Man United

MANCHESTER, England DE Gea ni mmoja wa wachezaji waandamizi wa kikosi cha Manchester United hivi sasa, alijiunga mwaka 2011...

SUNDAY MANARA ALIBATIZWA JINA LA ‘COMPUTER’ AKILINGANISHWA NA MASHINE INAYOFANYA HESABU HARAKA SANA

NA HENRY PAUL UNAPOZUNGUMZIA wachezaji wa Tanzania waliocheza soka kwa kiwango cha juu, kamwe huwezi kuacha kulitaja jina...

Anthony Martial haeleweki duniani, wala mbinguni

NA AYOUB HINJO MARA nyingi huwa napenda kuwasikiliza wakongwe wakiwa wanazungumzia timu zao za zamani, wakati wote huwa na...

Video News

- Advertisement -

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Ilipoishia jana Kikundi cha kigaidi cha Swaba kilitoa mkanda wa video, kikisema kuwa kinamshikilia mtoto wa Rais, Shazayi binti Galim. Jambo ambalo lilikuwa si la...

Mchambuzi EPL ataka Pogba asipangwe Anfield

LONDON, England HABARI ndio hiyo, hata wachambuzi wa soka nchini England ambao kwa muda mrefu walikuwa wakimtetea kiungo wa...

Mzungu Azam achomoa kifaa Mbao

NA MAREGES NYAMAKA KOCHA Mkuu wa Azam,Aristica amekoshwa na uwezo unaonyeshwa na straika wa Mbao, Wazir Jr akidai...

Simba yamwangukia JPM

NA ZAITUNI KIBWANA KLABU ya Simba imemwangukia Rais John Magufuli, baada ya kumwandikia barua ya kumwomba radhi kwa kitendo kilichofanywa na mashabiki wake kwenye mchezo...

Sevilla wathibitisha safari ya Tanzania

MWANDISHI WETU MABINGWA mara tano wa michuano ya UEFA Europa League, Sevilla, wamethibitisha kuja nchini kuvaana na timu ya...

ACHA FIKRA HIZI POTOFU, MWELEWE ANAPOKUKATAA

KUNA baadhi ya watu wanalaumu wenzao katika mahusiano, ila ukiangalia kwa makini wao ndio wenye kustahili lawama. Angalia, unamtongoza msichana halafu anakwambia ana mtu...
- Advertisement -

Kutoka Dawati La Michezo

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza kupokea maombi kutoka kwa baadhi...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

Sport News

Mkenya airahisishia kazi Yanga

NA MICHAEL MAURUS WAPINZANI wa Yanga katika mchezo wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Zesco United ya Zambia, leo...

KIUNGO MBEYA CITY AWEKA DAU MEZANI

NA MARTIN MAZUGWA KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City,  Raphael Daudi, amesema yupo tayari kumwaga wino Yanga kwa dau la Sh milioni 30 kwa ajili ya ...

HUMMELS: ARSENAL WAJILAUMU WENYEWE

LONDON, England BEKI wa Bayern Munich, Mats Hummels, amedai kuwa Arsenal wanapaswa kujilaumu wenyewe kwa kichapo cha mabao 5-1 walichokipata kutoka kwao. Hummels amesema kosa kubwa...
- Advertisement -

Saida Karoli atamani kurudiana na mzazi mwenziye

NA KYALAA SEHEYE MWIMBAJI wa nyimbo za asili ya Kihaya anayefahamika kwa jina la Saida Karoli, anamtaka mzazi mwenziye warudiane ili waendelee kumlea binti yao...

Zidane ajishuku kufukuzwa Bernabeu

MADRID, Hispania KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane, amedai kuwa haogopi kutimuliwa katika klabu hiyo. Zidane amesema hahofii suala hilo kwani anajua wazi kuwa hawezi kuliepuka...

‘Birthday’ za mastaa ni mwendo wa mikoko tu

NA JESSCA NANGAWE USIKU wa Desemba 14, Mwanamitindo Hamisa Mobetto alifanya sherehe ikiwa ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake,...

MAKINDA AJAX KUIONDOA MAN UNITED LIGI YA MABINGWA?

LONDON, England MANCHESTER United wametinga fainali ya Ligi ya Europa ambapo watavaana na Ajax, mchezo utakaochezwa Mei 24 kwenye Uwanja wa Friends Arena, uliopo mjini...

Sports Extra

KLOPP ADAI KUTORIDHISHWA KIWANGO CHA MO SALAH

LONDON, England   KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp, amesema kwamba, anavyodhani staa wake, Mohamed Salah, anacheza kiwango cha chini licha ya juzi kuchangia kupatikana ushindi wa...

KAZI IPO UBINGWA LA LIGA HAUNA MWENYEWE

MADRID, Hispania MPAKA sasa ni ngumu sana kutabiri ni nani atabeba taji msimu huu kwenye La Liga nchini Hispania na hii ni kwa sababu ya...

SCHMEICHEL AMEWAPA LEICESTER MATUMAINI

LONDON, England ALIKUWA Jamie Vardy ambaye alifanikiwa kupachika bao la ugenini, ingawa kazi kubwa ya kuifanya Leicester City ibaki na matumaini ya kusonga Ligi ya...

WENGER AWEKA NGUMU KUKATA TAMAA MBIO ZA UBINGWA

LONDON, England KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger, amekataa kukata tamaa za ubingwa wa michuano ya Ligi Kuu England, licha ya mwishoni mwa wiki iliyopita...