Saturday, November 28, 2020

TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO VYA FIFA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MARY PETER, TSJ


SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), limetoa orodha mpya ya viwango vya timu za Taifa, huku Tanzania ikiporomoka kutoka nafasi ya 144 hadi nafasi ya 160, ikishika nafasi ya 48 barani Afrika.

Tanzania imeshuka kwa mara ya tano mwaka huu, ambapo orodha iliyotolewa Juni mwaka huu, ilikuwa katika nafasi ya 136, Julai (123), Agosti (124), Septemba (132), Oktoba (144).

Katika orodha ya mwisho iliyotolewa hivi karibuni, Tanzania imeporomoka zaidi na sasa inakamata nafasi  ya 160, ikishuka kwa nafasi 16.

Kuporomoka kwa kiwango kumekuja miezi michache tangu Taifa Stars ilipopoteza nafasi ya kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON), kufuatia kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Nigeria, sambamba na kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya Zimbabwe, kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa wiki chache zilizopita.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -