Friday, October 23, 2020

CAVALIERS YAAMKA, YAINYUKA NY KNICKS NBA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NEW YORK, Marekani


TIMU ya kikapu ya Cleveland Cavaliers imefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa vikapu 126-94 dhidi ya wenyeji wao, New York Knicks, katika mchezo wa Ligi ya Kikapu ya Marekani (NBA), uliopigwa usiku wa kuamkia jana kwenye Uwanja wa Madison Square Garden.

Cavaliers waliamka na kupata ushindi wao huo ikiwa ni siku chache baada ya kupokea vichapo vitatu mfululizo.

Usiku wa Jumatano, Cavaliers walionesha kwanini wao ni mabingwa watetezi kwa kuitandika Knicks na kusitisha mwendelezo wao wa kushinda michezo minne mfululizo ambapo mastaa watatu, LeBron James, Kevin Love na Kyrie Irving walifunga jumla ya vikapu 74 na asisti 15 kuisaidia timu yao hiyo kuibuka na ushindi huo.

Kichapo hicho kinaifanya NY Knicks ishindwe kuendeleza wimbi lao la ushindi, huku mastaa wao wakishindwa kufurukuta mbele ya Cavaliers.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -