Sunday, November 29, 2020

Nini kipo jikoni mwa Tecno?

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

Mambo vipi Tanzania? Katika pita pita zetu mtandaoni tumekutana na baadhi ya story za kunyapia nyapia zinavyoashiria kuwa Tecno wapo jikoni. Kwa siku mbili sasa, kumekuwa na ‘countdown’ flan inayoendelea kimya kimya kwenye kurasa za mitandao ya kijami za kampuni nguli ya simu za mkononi nchini ya Tecno. Je kunani? Wanakuja na kitu kipya ama vipi? Tukaona isiwe mbaya, hebu tujaribu kuchunguza kidogo kujua nini kinaendelea?
tecno 1tecno 2 tecno 3

 

 

 

 

Kutokana na aina ya matangazo yanayoonekana kwenye kurasa hizo, kuna uwezekano mkubwa wanazindua simu au kifaa kwenye ‘series’ yao mashughuri ya Camon. Camon ni series ya simu za Tecno ambazo ni maalumu kwa kufotoa mapicha picha, maselfie ya kibabe ya kuonyesha ulimbwende halisia.

Pengine umekwisha zisikia C5, C8 na C9, swali linakuja tutegemee C nini? Ni C series au L series, ni compyuta au wamekuna na surprise kubwa zaidi? Hatuwezi kujua ambacho kimetokea, hata hivyo tunaweza kuzungumzia walau ambacho kimeshapita.

Kutokana na maelezo hapo juu, nimeona si mbaya kama tutazizungumzia hizi C series japo kwa ufupi, ili kama wanakuja na C nyingine walau ujue zimetoka wapi, zilikuaje na sifa zake zilikuwa zipi? Kama vipi funga mkanda twen’ zetu.

Tukianza na C5, ambayo ni kongwe zaidi kwenye series hii, ilikuwa na Camera ya nyuma yenye 8 MP ikipiga picha na kurekodi HD Video. Camera ya mbele ilikuwa na 2 MP pamoja na flash kwa mbele.

Baada ya hapo ilifuata C8, hii waliiongezea nguvu zaidi kwenye upande wa Camera kwani ilikuwa nna Camera ya nyuma yenye 13MP na ile ya mbele Camera yake iliongezeka hadi 5 MP ikiwa na flash yake. Baada ya hapo ikaja baba leo, C9 ambayo yenyewe ina Camera ya Nyuma na Mbele zenye 13MP flash, maalumu kupiga selfie za kibabe, ushindwe wewe tu.

Kama mawazo yetu juu ya Tecno kuja na series nyingine ya C unadhani itaitwaje? Na camera zake zitakuwa na sifa gani? Tuandikie kwenye comments mawazo yako. Pia tembelea tovuti hii kuanzia wiki ijayo, tutakuja kueleza hapa ni nini kimeletwa na Tecno.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -