Friday, October 30, 2020

20 Percent ahofia kuzeeka masikini

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA ESTHER GEORGE

MSANII wa Bongo Fleva, Abas Kinzasa ‘20 Percent’, amewaasa vijana kuwa na matumizi sahihi ya fedha, kuepuka starehe zisizo na maana kwani ujana una mwisho wake.

Akizungumza na Papaso la Burudani, 20 alisema yeye anahofia kuzeeka akiwa masikini, ndiyo maana yupo makini katika matumizi ya fedha kipindi hiki cha ujana ili atakapozeeka asipate tabu.

“Haya maisha ni kutafuta,  ukiendekeza starehe sana mwisho wake ni mbaya, kipindi hiki ukiwa na nguvu ndiyo muda wa kutafuta fedha na kuacha matumizi yasiyo na lazima ili ukizeeka uwe na uwezo wa kuendesha maisha yako,” alisema 20 Percent.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -