Monday, January 18, 2021

MEJA MINGANGE AIPA USHINDI YANGA

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

NA ZAINAB IDDY

KOCHA wa zamani wa Ndanda FC, Meja Mstaafu wa Jeshi, Abdul Mingange, amesema anaipa nafasi kubwa Yanga kuibuka na ushindi katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, itakayochezwa Agosti 23, mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, Meja Mingange alisema Yanga wana nafasi ya kushinda katika mechi hiyo kutokana na ubutu wa washambuliaji wa Simba.

Meja Mingange alisema Yanga  wana washambuliaji wanaojituma na wanawapa nafasi kubwa ya kushinda katika mechi hiyo.

“Kama si sare basi Simba inaweza kufungwa, kwani haina watu wenye shauku ya kufunga kama ilivyokuwa kwa Yanga  ambayo kwa sasa inaonekana ina tatizo kwenye beki ya kati.

“Simba ina mastraika wengi, lakini wote hawana shauku ya kufunga, hivyo wingi wao hauwezi kuisaidia timu kupata mabao, labda kama watabadilika,” alisema Meja Mingange.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -