Sunday, January 17, 2021

BANDA APEWA JEZI YA SIMBA SAUZI

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

NA SALMA MPELI

BEKI wa zamani wa Simba, Abdi Banda, juzi alianza rasmi kuitumikia timu yake ya Baroka FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini, huku akiwa na jezi namba 24 kama aliyokuwa anavaa kwenye kikosi cha Wekundu wa Msimbazi.

Banda ambaye alitua kwenye kikosi hicho mwanzoni mwa Julai mwaka huu, alishindwa kuanza

kuitumikia timu hiyo kutokana na kuchelewa kupata kibali cha kufanya kazi nchini humo.

Mchezaji huyo amecheza mechi yake ya kwanza mwishoni mwa wiki iliyopita, iliposhuka dimbani dhidi ya Polokwane City na kutoka sare ya 0-0, ikiwa ni mechi ya Ligi Kuu nchini humo (ABSA).

Banda kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa kijamii, aliweka picha ya jezi namba 24 kama aliyokuwa anavaa Simba, ambayo ndiyo ataitumia kwenye ligi hiyo msimu huu.

“Alhamdulillaah, ni mechi ya kwanza kwangu japo matokeo ni bila bila, timu ya Baroka FC 24 daima,” aliandika Banda akisifu jezi namba 24 ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka kadhaa tangu alipotua Simba na sasa Baroka FC.

Timu ya Baroka FC inatarajiwa kushuka tena dimbani kesho, ikiwa ni mfululizo wa mechi zake katika mwendelezo wa ligi hiyo, ikikutana na timu ya Orlando Pirates.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -