Sunday, January 17, 2021

SIMBA, YANGA ZASUBIRI HURUMA YA MKANDARASI

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

NA ZAINAB IDDY

ZIKIWA zimebaki siku tatu kuanza kwa mashindano ya Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu za Simba na Yanga sasa zinasubiri huruma ya mkandarasi ili kuweza kuutumia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa mechi zao za nyumbani.

Awali ilielezwa kuwa baada ya pambano la Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga litakalopigwa kesho uwanjani hapo, ukarabati utaanza kufanyika kwenye nyasi na sehemu zilizoharibika.

Nyasi zilizopo kwenye uwanja huo zinatakiwa kufanyiwa marekebisho baada ya zile zilizowekwa wakati wa ujio wa klabu ya Everton ya nchini Uingereza kuisha muda wake.

Akizungumza na BINGWA, Kaimu Meneja wa uwanja huo, Julius Mgaya, alisema hadi sasa mchezo unaotarajiwa kuchezwa kwenye dimba hilo ni ule wa Ngao ya Jamii.

“Ukarabati wa uwanja uko pale pale na kinachosubiriwa kwa sasa ni kumalizika kwa mechi ya Simba na Yanga kesho, ambayo ilikuwa katika ratiba yetu kwa sasa.

“Baada ya mechi kufanyika ni jukumu la mkandarasi kuanza matengenezo kama atakuwa tayari, hivyo mechi zote za Ligi Kuu zilizotakiwa kuchezwa hapa zitapelekwa kwenye Uwanja wa Uhuru,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -