Friday, January 15, 2021

KIWANGO CHELSEA CHAMKUNA CONTE

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

LONDON, England

KOCHA wa Chelsea, Antonio Conte, anaonekana kukunwa na kiwango cha timu yake baada ya kusema kuwa, ameridhishwa katika mchezo huo ambao waliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tottenham.

Mabao hayo mawili yalifungwa na Mhispania Marcos Alonso,  likiwamo la mwisho alilofunga akiwa mbali kama alivyofanya wakati wa mechi yao dhidi ya Leicester  City, iliyopigwa mapema Januari, mwaka huu.

“Hii ilikuwa ishara nzuri ya ubingwa,” alisema Conte, ambaye hiyo ilikuwa ni mechi yake ya 50 akiinoa The Blues.

“Hivyo ni  lazima tuendelee kupiga kazi,” aliongeza kocha huyo.

Muitaliano huyo, mwenye umri wa miaka 48, ambaye anaripotiwa kuwa na mgogoro ndani ya vyumba vya kubadilishia jezi jinsi anavyomfanyia straika wake Mhispania, Diego Costa, alisema asingeweza kuwataka nyota wake kuongeza jitihada zaidi.

“Kwanza ningependa kuwashukuru wachezaji wangu kwa sababu ya kujitolea kwao, juhudi walizoonesha uwanjani zilikuwa za ajabu kulingana na wakati mgumu tuliokuwa tunapitia,” alisema Conte.

“Nimefurahishwa sana na nilikuwa tayari kupigana katika kila hatua na walinionesha matumaini na malengo tuliyojiwekea msimu uliopita,” aliongeza.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -