Tuesday, January 19, 2021

KIZUNGU CHAITOA NISHAI TFF

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

NA ESTHER GEORGE

MANENO ‘Community Shield’  yameonekana kuwa chungu kwa mwandishi aliyepewa kazi ya kuandika Ngao ambayo ilikuwa inagombewa na watani wa jadi, Simba na Yanga, katika mchezo wa Ngao ya Jamii jana, unaoashiria ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Mwandishi huyo alijikuta akiandika maneno Community Sheild  badala ya maneno sahihi ‘Community Shield’, yaliyotakiwa kuandikwa kwenye Ngao hiyo.

Aibu ya kukosewa maneno hayo ilianza kuonekana pale warembo wawili walipojitokeza, wakiwa wamebeba ngao hiyo; mmoja amevalia jezi nyekundu  na mwingine njano.

Ngao hiyo iliyotengenezwa kwa kutumia mbao na kupakwa rangi ya dhahabu, ilikuwa ikiwaniwa na klabu  hizo mbili zenye upinzani wa jadi, Simba na Yanga jana, huku wanaume 22 wakipambana Uwanja wa Taifa, ilikuwa  ni lazima mshindi apatikane.

Licha ya kwamba warembo hao walipendeza, maandishi ya lugha ya Kiingereza yaliyoandikwa katika Ngao hiyo yaliwaharibia kwelikweli kutokana na kukosewa kwake.

Maneno ‘Community Sheild’ ndiyo yaliyosomeka katika Ngao hiyo ya jamii na kuwaacha wadau wa soka na mshangao, kwani yaliharibu maana halisi ya maneno hayo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -