Friday, January 15, 2021

HAZARD AZUA BALAA CHELSEA

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

LONDON, England

KOCHA wa klabu ya Chelsea, Antonio Conte, ameonesha kushangazwa baada ya kusikia winga wake, Eden Hazard, ameitwa katika timu ya taifa ya Ubelgiji itakayocheza mechi za kufuzu Kombe la Dunia.

Hazard hajaitumikia klabu yake katika mechi yoyote ya ligi kufuatia jeraha la enka alilolipata Juni mwaka huu katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki.

“Katika soka ni muhimu sana kuheshimu muda wa mchezaji kupona vyema. Ila si mbaya, naheshimu uamuzi wa kocha wa Ubelgiji, Roberto Martinez, maana hata mimi niliwahi kuwa kama yeye,” alisema Conte ambaye alisikia taarifa hizo dakika 20 kabla hajazungumza na waandishi wa habari juzi.

“Hazard hayupo fiti kucheza, ndio maana hamjamwona uwanjani. Kama bado hayupo sawa, hatacheza. Ni hatari sana kumharakisha arudi dimbani,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -