Wednesday, January 20, 2021

MEEK MILL,  50 CENT WAMEMALIZA BIFU?

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

LAS VEGAS, Marekani

NI kama sasa mambo ni shwari kati ya mastaa wa hip hop, 50 Cent na Meek Mill, baada ya hivi karibuni kuonekana wakitumbuiza kwenye jukwaa moja.

Kipande cha video kinamuonyesha Meek akiimba wimbo wake wa ‘Dreams and Nightmares’ akiwa sambamba na 50 Cent.

Katika ‘show’ hiyo, mbali na Cent, Mill alikuwa pia na mastaa, Chance The Rapper, Allen Iverson, James Harden, Trey Songz na Jeezy.

Mwaka jana, Cent na Mill walikuwa maadui na ilifikia kipindi walikaribia kutwangana.

Baada ya video hiyo, mashabiki wa hip hop nchini Marekani wametoa maoni yao, huku wengi wakieleza shauku ya kuwaona wawili hao wakiachia ngoma ya pamoja.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -