Friday, October 23, 2020

RAMOS ATABIRI REAL MADRID KUENDELEA KUTESA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

MADRID, Hispania


NAHODHA wa timu ya Real Madrid, Srgio Ramos, amesema kwamba kitendo cha straika wao wa zamani, Cristiano Ronaldo, kuondoka na kwenda kujiunga na Juventus hakitaweza kuwazuia kupata ushindi katika michuano mbalimbali ikiwamo ya LaLiga.

Ronaldo alijunga na Juve kwa ada ya Euro milioni 112 akihitimisha ngwe ya  mafanikio ya miaka tisa ya kuitumikia Real Madrid yakiwamo ya kuipa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mpaka sasa Real Madrid  haijafanikiwa kupata mrithi wa staa huyo na huku kocha wao mpya, Julen Lopetegui, akionekana atamtegemea Gareth Bale kutoa mchango muhimu, jambo ambalo linatiliwa shaka na wengi.

Hata hivyo, Ramos anapingana nao akisema kuwa wataendelea kutamba katika soka la Ulaya licha ya nahodha huyo wa Ureno kuondoka.

“Hwapaswi kuwa na wasiwasi. Kwa hapa mara zote huwa tunajihisi kama familia moja,” Ramos aliuambia mkutano wa waandishi wa habari.

“Mafanikio yote tuliyonayo yametokana na kuwa mara zote tumekuwa tukifanya kazi kama familia na tukijihisi kama sehemu ya familia. Kumpoteza mchezaji  kama huyo muhimu ni hasara lakini haitatuzuia kuendelea kushinda,” aliongeza staa huyo.

 

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -