Tuesday, October 20, 2020

SERENGETI BOYS YATAKATA, YAICHAKAZA SUDAN ‘5 O’CLOCK’

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

Lulu Ringo na Elizabeth Joachim, Dar es Salaam


Timu ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys wameichakaza Sudan magoli 5-0 katika mchezo wa kuwania kufuzu mashindano ya Afrika kwa umri huo yatakayofanyika Tanzania mwakani.

Magoli ya Tanzania yamefungwa na Edson Mshirakandi dakika ya 10, Kelvin John dakika ya 45 na 72, Ladaki Chasambi dakika ya 60 na Agiri Ngoda dakika ya 79

Katika mchezo huo Serengeti Boys wamefunga magoli manne ya kuotea na Sudan wakipata goli moja tu la kuotea.

Sudan na Tanzania wanakamilisha jumla ya michezo miwili waliyokwishacheza Tanzania ikishinda michezo yote miwili huku Sudan ikipoteza michezo yote miwili.

Mchezo wa kwanza kwa Tanzania, Serengeti Boys walishinda magoli 2-1 dhidi ya Burundi na Sudan akapoteza mbele ya Rwanda kwa kukubali kichapo cha magoli 3-4.

Sudan na Tanzania wapo Kundi A lenye ya timu nne ambazo ni Rwanda, Tanzania, Sudan na Burundi

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -