Wednesday, October 28, 2020

NDAYIRAGIJE ATAMBA KUIFUNGA JKT TANZANIA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA MWAMVITA MTANDA

KOCHA Mkuu wa timu ya KMC, Etienne Ndayiragije, amesema hana hofu yoyote katika mechi yao dhidi ya JKT Tanzania, huku akitamba kuwepo uwezekano wa kuifunga kutokana na kikosi chake kuwa imara.

KMC na JKT Tanzania wanatarajia kuingia dimbani Agosti 23, katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa kwanza mwaka huu.

Akizungumza na BINGWA jana, Ndayiragije alisema kikosi chake kipo imara, hakuna mchezaji ambaye ni majeruhi, hivyo ana uwezo wa kufanya vizuri katika mechi hiyo.

“Sina hofu yoyote juu ya JKT, kikosi changu kipo imara, hivyo naamini kuwa tunaenda kuanza kwa kasi ya ajabu,” alisema.

Kabla ya kupata mkataba KMC, Ndayiragije alikuwa kocha mkuu wa Mbao FC yenye makazi yake jijini Mwanza, ambako aliondoka kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -