Friday, October 23, 2020

DIANA TAYARI KUKABIDHI TAJI MISS TANZANIA 2018

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

 

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam


 

MREMBO anayeshikilia taji la Miss Tanzania mpaka sasa Diana Edward, amesema yupo tayari kumkabidhi taji kwa mrithi wake atakayepatikaana Septemba 8 mwaka huu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Diana ambaye ni Miss Tanzania mwaka 2016, alisema mashindano ya mwaka huu ni kama mashindano ya miaka mingine tu ila uongozi ni tofauti.

“Nipo tayari kukabidhi taji  kwa Miss Tanzania 2018 na mashindano ya mwaka huu ni kama mashindano mengine tu labla menejimenti ndiyo imebadilika,” alisema Diana.

Tayari tiketi za shindano hilo zimeanza kutolewa katika maeneo mbalimbali huku viingilio vyake kwa V.V.I.P ni Laki150,000, V.I.P ni Laki 100,000 na viti vya kawaida ni elfu Elfu 70,000.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -