Sunday, October 25, 2020

TUSKER KUCHEZA NA VIGOGO DAR

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA SAADA SALIM


 

TIMU ya Tusker FC ya Kenya, inatarajia kutua nchini Septemba 3 mwaka huu kwa ajili ya kucheza mechi za kirafiki dhidi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kikosi cha timu hiyo kitawasili kipindi ambacho ligi ya Kenya na Tanzania imesimama, kupisha kalenda ya Shirikisho la Soka Ulimwenguni (Fifa), huku timu ya Taifa Stars ikiwa katika maandalizi ya kucheza mechi ya kufuzu kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika 2019 dhidi ya Uganda Septemba 8.

Akizungumza na BINGWA jijini jana, mratibu wa mechi hiyo George Wakuganda, alisema uongozi wa Tusker umethibisha kuja nchini na kucheza mechi kadhaa za kirafiki na timu za Simba, Yanga, Azam FC na Coastal Union.

“Nimeongea na uongozi wa Tusker umekubali kuja nchini katika ziara fupi, kipindi ambacho ligi itasimama nimeandika barua kuomba hizo timu tajwa hapo juu kucheza mechi.

“Kwa muda huu kuna timu zitakuwa zinaendelea na mazoezi, hivyo tunahitaji kutumia nafasi hiyo kupata mechi ili kila kikosi kijiweke sawa baada ya kumalizika kwa kalenda ya Fifa,” alisema Wakuganda.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -