Tuesday, October 20, 2020

POCHETTINO: HAMUMJUI MOURINHO NYIE

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

LONDON, England


PAMOJA na timu za Manchester United na Tottenham kukutana usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Old Trafford, kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino awashangaa wanaombeza Jose Mourinho.

Pochettino alisema kuwa hata yeye mwenyewe kuna mambo mengi hujifunza kupitia kocha huyo wa Manchester United ambaye anatajwa kufukuzwa muda wowote kama timu hiyo itaendelea kufanya vibaya.

Lakini kocha huyo wa Tottenham raia wa Argentina alisema kuwa Mourinho ni mtu ambaye anavutia kumwangalia huku akitambua ni kitu anakifanya.

“Vyombo vya habari vinamshambulia sana, naamini si mtu wa hivyo kama wengi wanavyosema, Mourinho ni kocha anayejitambua tena kwa makocha wa sasa wengi wamekuwa wakimtumia kama mtu wa mfano kwao kwa kujifunza,” alisema Pochettino.

Manchester United jana usiku iliikaribisha Tottenham katika Uwanja wa Old Trafford ikiwa ni mchezo wa tatu wa Ligi Kuu England.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -