Sunday, November 1, 2020

SHILOLE ATOA KITABU CHA MAPENZI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

 

NA CHRISTOPHER MSEKENA


 

MSANII nyota wa muziki nchini, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amezindua kitabu cha mapenzi ‘Broken Heart’, Mlimani City, Dar es Salaam juzi kilichosheheni simulizi za kweli kuhusu maisha yake ya mahusiano.

Akizungumza na Papaso la Burudani, Shilole, alisema kitabu hicho kimeandikwa kwa mchanganyiko wa lugha ya Kiswahili na Kiingereza ili kutoa nafasi kwa mashabiki zake kumfahamu vizuri.

“Ni kitabu ambacho tumekiandaa kwa muda wa mwaka mzima, nimeshirikiana na wataalamu ili kupanga maudhui yake yawe mazuri kwa wasomaji, zipo simulizi zangu na watu wangu wa karibu, kuna vitu vingi vya kujifunza,” alisema Shilole.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -