Saturday, October 31, 2020

BOLT KUSHUKA TENA DIMBANI AUSTRALIA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

GOSFORD, Australia


 

KOCHA wa timu ya Central Coast Mariners ya Australia, Mike Mulvey, amesema anategemea kumtumia mwanariadha mstaafu wa Jamaica, Usain Bolt, katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa kesho.

Bolt, ambaye alikuwa hashikiki katika enzi zake za kufukuza upepo hasa kwenye mashindano ya Olimpiki, alitua katika kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu Australia, A-League, mapema mwezi huu kwa ajili ya majaribio.

Baada ya kufanya mazoezi na timu hiyo, Bolt mwenye umri wa miaka 32, anajiandaa kwa ajili ya kupata nafasi ya kwanza kuonesha uwezo wake dhidi ya kikosi cha Central Coast Football, kesho.

“Kwa mechi ya Ijumaa, nitamtumia Bolt kwa maelekezo ya makocha wa utimamu wa mwili, jinsi gani mwili wake unavyozoea mazoezi tunayofanya kwa sasa, lakini nadhani atacheza kwa dakika chache siku hiyo,” alisema Mulvey.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -