Sunday, October 25, 2020

UFUPI WAMZUIA AKI KUCHEZA KIKAPU

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...


LAGOS, Nigeria

STAA wa filamu za vichekesho za Nollywood, Aki, amesema kimo chake kifupi kinamfanya ashindwe kucheza kikapu licha ya kuupenda mno mchezo huo.

Aki alisema hata hivyo hauchukii ufupi kwani haumzuii kuwa na akili nyingi alizonazo sasa.

“Nina akili sana, hivyo suala la kimo haliniumizi kichwa…nafurahia nilivyo,” alisema Aki na kuongeza kuwa hata soka amekuwa akilifuatilia.

“…Mimi ni shabiki mkubwa wa Arsenal na Enyimba FC. Baba yangu alikuwa mwanasoka na hata mimi naweza kucheza,” alidai nyota huyo.

Kufikia mwaka jana, jarida maarufu la Forbes la Marekani lilidai kuwa jamaa anamiliki utajiri wa zaidi ya Dola milioni 3.5 (zaidi ya Sh bil. 7 za Tanzania).

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -