Saturday, October 31, 2020

MBELGIJI AWAPA MTIHANI NIYONZIMA, JJUUKO

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA WINFRIDA MTOI


BAADA ya kuanza mazoezi na kikosi cha Simba juzi, kiungo Haruna Niyonzima na beki wa kati, Jjuuko Murshid, wamepewa wiki tatu na kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji Patrick Aussems, ndipo awafikirie kuwapa namba.

Niyonzima na Jjuuko hawakuwepo kwenye  kikosi hicho tangu kocha huyo alipoanza kuinoa timu hiyo kwa maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

Akizungumza katika mazoezi ya mwisho kwenye Uwanja wa Boko Veterani kabla ya kwenda jijini Mwanza, Aussems, alisema alikutana na wachezaji hao na kuzungumza nao kabla ya kuwajumuisha kwenye kikosi.

Alisema licha ya kuanza mazoezi, lakini bado wanahitaji muda wa kuwa chini ya uangalizi ili waweze kuwa fiti zaidi kama wenzao alioanza nao katika kipindi cha maandalizi

“Nilisema nitakapokutana na wachezaji hawa nitaongea nao, nimeshawaona na tumefanya mazungumzo na sasa ni miongoni mwa wachezaji wa kikosi changu.

“Lakini kwa mazoezi yao ya muda mfupi bado hawapo tayari kucheza, itachukuwa wiki mbili au tatu kupata namba ya kucheza, hivyo wataanza kuonekana mechi zijazo si za hivi karibuni,” alisema Aussems.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -