Friday, October 30, 2020

MAN FONGO AFUNGUKA SAKATA LA POLISI KUMKAMATA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA CHRISTOPHER MSEKENA

MWIMBAJI nyota wa muziki wa Singeli, Aman Hamis ‘Man Fongo’, amesema alikamatwa na sungusungu na si Jeshi la Polisi kama habari zilivyosambaa katika mitandao ya kijamii wiki iliyopita.

Akizungumza na Papaso la Burudani, Man Fongo alisema siku alipokamatwa alikwenda Tandale katika nyumba ya kaka yake ambayo watoto wengi wa ndugu wanaishi hapo ili kuwajulia hali, kabla ya sungusungu kuibuka na kumkamata.

“Walikuja nyumbani kwa kaka sungusungu zaidi ya 45, hakukuwa na polisi hata mmoja, wakatunusa mikono, wakatukamata wakisema tulikuwa tunavuta bangi, tukapigwa pingu, huko mbele wakaomba fedha tuliposema hatuna ndipo wakatupeleka polisi,” alisema Man Fongo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -