Friday, October 23, 2020

Kakolanya: Nilipata tabu sana

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

 

 NA SAADA SALIM


 

KIPA wa Yanga, Beno Kakolanya, amesema alipata wakati mgumu kuokoa mashuti ya washambuliaji wa Simba, Meddie Kagere na Emmanuel Okwi, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam juzi.

Katika mchezo huo wa mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo, timu hizo zilitoka sare ya kutofungana ndani ya dakika 90.

Akizungumza na BINGWA jana, Kakolanya alisema haikuwa kazi nyepesi kuwakabili Simba, kwani kila wakati walikuwa wakifika langoni kwake kitu ambacho kilimpa wakati mgumu.

“Nilikuwa katika wakati mgumu sana, ukiangalia mara kwa mara washambuliaji wa Simba walikuwa wakifika langoni kwetu, lakini hata hivyo namshukuru Mungu kwamba tuliweza kuondoa hatari zote na mpira ukamalizika salama.

“Wenzetu walikuwa wazuri kuanzia safu yao ya kiungo ambayo ilikuwa ikiwapenyezea mipira washambuliaji wao, ndiyo maana tukaonekana kama kuzidiwa ila tuliweza kuhimili,” alisema.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -