Friday, October 23, 2020

MAGULI KUREJEA LIGI KUU BARA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA WINFRIDA MTOI


MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Elias Maguli, anatarajia kuonekana tena katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu mzunguko wa pili utakapoanza.

Kwa misimu zaidi ya mitatu straika huyo pia  aliwahi kuichezea Ruvu Shooting na Stand United kabla ya kujiunga na Dhofar SC ya nchini Oman aliyoitumikia kwa misimu miwili.

Akizungumza na BINGWA jana, Maguli alisema kuna moja ya timu ya Ligi Kuu Bara anatarajia kujiunga nayo katika usajili wa dirisha dogo msimu huu.

Aidha, alisema ameamua hivyo baada ya mkataba wake na timu ya AS Kigali inayoshiriki Ligi Kuu nchini Rwanda kuvunjika kutokana na uongozi kushindwa kutimiza yale waliyokubaliana.

“Nilikuwa nimesaini mkataba na AS Kigali ya Rwanda ila kuna mambo hayakukaa sawa nikaamua kuvunja mkataba, kwa muda huu nitaendelea kucheza hapa nyumbani kwa sababu tayari kuna timu zinanihitaji,” alisema Maguli.

Hata hivyo, aliongeza kuwa wiki ijayo atakuwa tayari amekamilisha mazungumzo na moja ya timu ili acheze kwa muda wa miezi sita wakati akisubiri mipango yake ya kwenda nje ikamilike.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -