Monday, October 26, 2020

JIDE, ZAHARA, KANYOMOZI WAKONGA NYOYO VOCALS NIGHT

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

NA CHRISTOPHER MSEKENA


NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, ameongoza mashabiki wa muziki nchini katika tamasha la Vocals Night lililofanyika kwa mafanikio makubwa mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

Tamasha hilo la kila mwaka lenye lengo la kuwainua waimbiaji wa kike nchini, lilikuwa na ugeni mzito wa wanamuziki kama vile staa wa wimbo Loliwe, Zahara kutoka Afrika Kusini, Juliana Konyomozi wa Uganda waliokonga nyoyo za mashabiki wa muziki sambamba na wanamuziki wa nyumbani Damian Soul, Mwana Fa, AY waliojitokeza kumuunga mkono Lady Jay Dee.

Akizungumza na Papaso la Burudani, Lady Jay Dee, alitoa shukrani kwa mashabiki waliojitokeza kwa wingi pamoja na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kumpa ushirikiano katika suala zima la vibali kwa wasanii kutoka nje.

“Sapoti ya Basata ilikuwa kubwa, imenipa moyo kama msanii wao bila kusahau niwashukuru uhamiaji na maofisa wote walionipigania na kuhakikisha UTI kutoka Nigeria anaingia Tanzania dakika za mwisho kuweza kufanikisha Vocals Night,” alisema Jide.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -