Tuesday, January 19, 2021

2FACE IDIBIA: SINA MPANGO NA SIASA

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

LAGOS, Nigeria

LICHA ya kutumbuiza kwenye mikutano kadhaa ya kampeni, nyota wa muziki 2face Idibia, ametoboa kuwa hafikirii kujiingiza kwenye siasa.

Mwanamuziki huyo ameweka wazi kuwa, hajawahi kuwa na mpango wa kufanya kazi serikalini.

Akihojiwa na kituo kimoja cha televisheni, 2Face alisema: “Sidhani kama naweza kuingia kwenye siasa. Natakiwa kuwiva kwenye kitu ninachokwenda kukifanyia kazi. Siwezi kukurupuka kupokea uteuzi wowote.”

Akiizungumzia Nigeria, baba huyo wa watoto saba alisema angependa kuona nchi hiyo ikiwa sehemu inayovutia kutembelea.

Hivi sasa 2Face alichaguliwa kuwa mmoja wa wasanii waliopewa jukumu la kuwa mabalozi wa amani nchini Nigeria.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -