Friday, December 4, 2020

WAENDESHA baiskeli walioitwa timu ya taifa

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA VICTORIA GODFREY

WAENDESHA baiskeli walioitwa  timu ya taifa  inayojindaa na mashindano ya Afrika  wametakiwa kujitokeza kushiriki mashindano yam bio za baiskeli yajulikanayo  kwa jina la North Zanzibar Sportive’(NZS), ya kilometa 50 na kilometa 93  ambalo limepangwa kufanyika Februari 15 mwaka huu Nungwi,  Zanzibar.

Mashindano hayo yanaandaliwa na  Klabu ya waendesha baiskeli ya Darvelo na yatashirikisha  waendesha baiskeli kutoka ndani na nje ya nchi   na  lengo  mashindano hayo ni   kuendeleza mchezo huo hapa nchini.

Akizungumza na BINGWA Mwenyekiti wa Chama cha  Baiskeli Tanzania(Chabata)  jana,Godfrey Mhagama  alisema kuwa mashindano hayo   kwa  wachezaji   kutokana yatakuwa ni kipimo cha  mandalizi yao   kwakuwa  wanatarajiaa kushiriki michuano ya Afrika ya mchezo huo yatakayofanyika Machi  mwaka  huu, Mauritius.

Alisema kuwa  mashindano hayo yatawasaidia wachezaji  kuangalia  mapungufu aliyonayo na kuweza kuyafanyia kazi ili aweze kufanya vizuri  kwenye mashindano ya kimataifa.

Mhagama alisema kuwa  hiyo ni nafasi nzuri ya kuitumia mwendesha baiskeli kushiriki wakati anasubiri kuingia kambini kwa maandalizi  ya pamoja.

“Kutokana na mashindano haya yanashirikisha mwendesha baiskeli mmoja mmoja  tunaomba  waendesha baiskeli wa timu ya taifa kujitokeza kwa  wingi kushiriki kutokana na yana umuhimu mkubwa  sana  kwa kuyatumia  kujipima viwango vyao,” alisema Mhagama.

Mwenyekiti huyo alisema kuwa faida nyingine  itakuwa kusaidia  kutambua  muda atakaoshiriki kupitia mashindano hayo ili aweze kuongeza viwango vya ushiriki kimataifa.

%%%%%%%%%%%%%%%%%

Previous article
Next articleMTANUNA SANA TU
- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -