Friday, October 23, 2020

Umber Lulu akolea kwa Young Dee, ajichora tattoo

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

ZAITUNI KIBWANA,

VIDEO Queen, Lulu Mkongwa ‘Amber Lulu’ ambaye anamuiga mwanamitindo, Amber Rose, amekolea kwa rapa, David Ganzi ‘Young Dee’, baada ya kuamua kujichora tattoo mkononi mwake.

Amber Lulu ambaye anabamba kwa figa yake inayowatoa udenda wanaume, inadaiwa anatoka na rapa huyo ambaye anatamba na wimbo wa Kiswahili ‘Matangazo’.

Kwenye ukurasa wake wa Instagram, Amber Lulu, aliweka picha inayomwonyesha amechora tattoo kwenye mkono wake ikiwa na jina la Young Dar es Salaam.

Picha hiyo imezua maswali mengi kwa mashabiki wake ambao walitaka kujua ni kweli anatoka mrembo huyo kimapenzi na Young Dee au la.

“Hivi Young Dee si alikuwa anatoka kimapenzi na Tunda, imekuwaje tena kwa Amber Lulu, haya lakini sasa tunawatakia kila la kheri,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -