Monday, October 26, 2020

Jezi iliyovaliwa na Ozil yampagawisha shabiki mtoto wa Arsenal

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

LONDON, England

KIUNGO mbunifu wa klabu ya Arsenal, Mesut Ozil, amemfanya shabiki mtoto wa timu hiyo kuwa na furaha isiyoelezeka, baada ya kumpa jezi yake aliyoivua mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Chelsea ambao ulimalizika kwa ‘The Gunners’ hao kuibuka na ushindi wa mabao 3-0.

Ozil pamoja na wenzake walionesha kiwango cha hali ya juu dhidi ya Chelsea kwenye mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Emirates jijini London, kiwango kilichowaridhisha mashabiki lakini haiwezi kuzidi furaha aliyoipata shabiki huyo aliyerushiwa jezi na Ozil.

Arsenal ilipata mabao yake kupitia kwa Alexis Sanchez aliyefunga la kwanza kabla ya Theo Walcott kuongeza jingine na Ozil kupigilia msumari wa mwisho kwenye ‘jeneza’ la vijana wa kocha, Antonio Conte.

‘Dogo’ huyo aliyekuwa amesimama na wenzake kwenye viti baada ya mchezo huo, alionekana ni mwenye furaha mno alipoidaka jezi ya Ozil, huku akiwaangalia wenzake katika hali ya mshangao.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -