Tuesday, December 1, 2020

Kamera kuwakamatisha wahuni wa Uwanja wa Taifa

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limesema litatumia picha za video katika kuwakamata mashabiki wanaodaiwa kuvunja viti katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Tukio hilo lilitokea wakati wa pambano baina ya Simba na Yanga lililofanyika  Jumamosi iliyopita, ambapo mashabiki wanaodaiwa wa Simba walivunja viti wakionyesha hisia zao baada ya wapinzani wao kuandika bao la kuongoza kupitia mshambuliaji, Amissi Tambwe.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro, alisema jana kuwa jeshi hilo limesikitishwa na kitendo hicho hivyo kuahidi kuwafuatilia na kuwatia nguvuni wale wote waliohusika kufanya uharibifu wa mali za uwanja.

“Kamera zilizokuwepo uwanjani zimeonyesha tukio lilivyokuwa, hivyo tutatumia picha hizo katika kuwasaka na kuwatia nguvuni wote walioshiriki katika kung’oa viti,” alisema Kamanda Sirro.

Alisema changamoto iliyokuwepo uwanjani hapo ilikuwa ni kubwa japo askari walijitahidi kudhibiti kwa kutumia mbinu mbalimbali.

“Nitoe wito kwa mashabiki wa mpira kuhakikisha wastaarabu na kutii sheria bila shuruti,” alisema Kamanda Sirro.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -