Sunday, October 25, 2020

Bossou, Kamusoko, Ngoma nje Yanga

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA MARTIN MAZUGWA

NYOTA watatu wa kikosi cha kwanza cha Yanga, Donald Ngoma, Thaban Kamusoko na Nadir Haroub ‘Cannavaro’, wameshindwa kufanya mazoezi kutokana na sababu tofauti.

Katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika jana katika Uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini, jijini Dar es Salaam, BINGWA lilishuhudia wachezaji hao wakiwa nje ya dimba, huku wakiwa wamevalia mavazi ya kawaida.

Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh, alisema jana kuwa, wachezaji hao hawakufanya mazoezi na wenzao kutokana na sababu mbili, ruhusa maalumu na majeraha.

“Bossou yupo katika kikosi cha timu ya taifa ya Togo, lakini Niyonzima, Malimi Busungu na Beno Kakolanya wana ruhusa maalumu ya kuwa na matatizo ya kifamilia,” alisema Hafidh.

Licha ya kuwakosa nyota hao, Yanga iliendelea na mazoezi yake kama kawaida na leo inatarajia kuhamia katika fukwe za Gymkhana, Posta, jijini humo kujiwinda na mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting, utakaopigwa Alhamisi ya wiki ijayo.

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, ameanza kusuka safu yake ya ulinzi kwa kutengeneza safu mpya, ikimjumlisha Pato Ngonyani, Kelvin Yondani na Andrew Vicent ‘Dante’ kwavile atamkosa Bossou, ambaye anaitumikia Togo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -