Wednesday, October 28, 2020

Aduriz aweka rekodi Ligi ya Europa

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MADRID, Hispania

STRAIKA  Aritz Aduriz ameweka histria baada ya kuwa Mhispania wa pili kufunga mabao matano katika mchezo mmoja ambao timu ya  Athletic iliibuka  na ushindi wa mabao 5-3 dhidi ya Genk katika michuano ya Ligi ya Europa.

Kwa kupachika mabao hayo staa huyo atakuwa ameungana na straika wa zamani wa Barcelona,  Jose Antonio Zaldua ambaye alikuwa ni mchezaji pekee kufanya hivyo baada ya kufunga idadi kama hiyo wakati wa msimu wa  1965/66.

Pia kwa idadi hiyo ya mabao matano, Aduriz  anakuwa  mchezaji wa  Athletic kati ya wanaoongoza kwa kufunga mabao barani Ulaya.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -