Wednesday, November 25, 2020

AGYEI AMVUTA BEKI WA MBAO SIMBA SC

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA CLARA ALPHONCE,

KIPA wa Simba raia wa Ghana, Daniel Agyei, anampigia debe beki wa Mbao, Asante Kwasi, ili aweze kusajiliwa na Wekundu wa Msimbazi kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kwasi ambaye ni raia wa Ghana, ni beki kisiki wa Mbao na amekuwa kikwazo kwa washambuliaji wa ligi kuu kumpita kirahisi na kufunga mabao.

Kutokana na uwezo wake, Agyei amewataka viongozi wa Simba kumsajili katika kikosi cha msimu ujao ili aweze kuziba nafasi ya mabeki watakaoondoka.

Inadaiwa kwamba, Agyei amekuwa akiwashawishi viongozi wa timu hiyo kumsajili mchezaji huyo, lakini mabosi hao wa Msimbazi bado wanaonekana kusitasita.

Habari za uhakika kutoka kwa mmoja wa viongozi wa Simba zilieleza kuwa pamoja na kupigiwa debe beki huyo, bado viongozi wamekuwa na shaka juu ya uwezo wake.

“Kumekuwa na mabishano kwa viongozi wenyewe, wengi wanaonekana kutomkubali na wanahisi wanaweza kuleta undugu ambao utakuja kuleta matatizo katika timu.”

Agyei na Mghana mwenzake James Kotei, walisajiliwa na Simba katika dirisha dogo la usajili la Ligi Kuu Bara lililofungwa Desemba 15, mwaka jana.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -