Wednesday, November 25, 2020

AJIB, KICHUYA HAWANA URAFIKI KWA KIPA MGHANA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY

MSHAMBULIAJI wa Simba, Ibrahim Ajib na Shiza Ramadhan ‘Kichuya,’ wameonekana hawana urafiki kwa kipa mpya Mghana Daniel Agyei, baada ya kumtungua mabao katika mazoezi yaliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam.

Agyei alishindwa kudaka mikwaju iliyokuwa ikimiminwa na washambuliaji hao, ambao wanafanya vizuri katika kikosi hicho cha Wekundu wa Msimbazi.

Wawili hao waliweza kumtungua Mghana huyo baada ya kocha mkuu wa timu hiyo, Joseph  Omog, kuwataka kufunga mabao ya mbali  nje ya 18.

Katika zoezi hilo, wachezaji 20 waliotakiwa kufunga kwa umbali huo ni Kichuya na Ajib walioonekana kupatia huku wakimfurahisha Omog.

Simba ambao walifanya mazoezi ya mwisho, leo wanatarajia kwenda mkoani Mtwara kucheza na Ndanda katika mchezo wa mzunguko wa kwanza utakaopigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona.

Katika mazoezi hayo kocha wa makipa Mkenya Iddi Salim, alionekana kuwa na kazi kubwa zaidi ya kuwanoa walinda mlango wake.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -