Tuesday, December 1, 2020

Akilimali mkutanoni Jumapili kama kawa

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA HUSSEIN OMAR

KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahimu Akilimali, amesisitiza atahudhuria Mkutano Mkuu wa dharura wa wanachama wa klabu hiyo ambao umepangwa kufanyika Oktoba 23 mwaka huu.

Tayari uongozi wa klabu hiyo umeweka hadharani ajenda 14 za mkutano utakaofanyika Jumapili katika ukumbi wa klabu hiyo.

Akilimali atashiriki mkutano huo akiwa na hoja nyingi za msingi zitakazohusu ukodishwaji wa timu hiyo.

“Nitakwenda mkutanoni nikiwa na hoja za msingi, kama nikipewa nafasi ya kuongea nitaongea na kuhoji faida na hasara za kukodishwa Yanga,” alisema Akilimali.

Katika hatua nyingine, Akilimali amelia na kitendo cha uongozi wa timu hiyo kuwatenga wazee na kusababisha timu hiyo kwenda mwendo wa kusua sua katika ligi msimu huu.

“Kwa kweli sisi kama wazee wa timu tunaumia sana kuona tunapata matokeo mabaya, hii yote ni kwa sabubu uongozi wa sasa umetutenga sana,” alisema Akilimali.

Matokeo hayo yameendelea kuipa wakati mgumu Yanga ambayo msimu uliopita ilikuwa bingwa.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -